SwahiliCimadex International LLC ni msambazaji wa vifaa na vyombo vya matibabu. Dhamira yetu hapa Cimadex ni kufanya bidhaa za ubora wa Juu za matibabu zilizotengenezwa Marekani kufikiwa kwa urahisi na wanunuzi wa nchini na kimataifa kwa bei nafuu zaidi na pia kuwapa kiwango cha kipekee cha makini kwa wateja na uimairishaji wa usafirishaji kimataifa.

Ili kutimiza mahitaji yanayobadilika ya wateja wetu, tunatilia maanani usambazaji wa bidhaa mbalimbali zenye ubora wa juu ambazo ni pamoja na lakini si tu zilizo hapa chini:

 • Vitanda vya Hospitalini
 • Vifaa vya Utambuzi wa Magonjwa
  • Skana za CT, vifaa vya eksrei, vifaa vya mamografia, vifaa vya MRI, endoskopi, vifaa vya huduma ya dharura
 • Vifaa vya Maabara
 • Meza na Viti vya Uchunguzi

Kwa uwezo wa kupata huduma kutoka kwa watengenezaji mbalimbali, tunaweza kukidhi mahitaji ya vifaa na vyombo vya matibabu ya wateja wetu. Tunatoa huduma mbalimbali katika soko la afya ikiwemo:

 • Hospitali
 • Ofisi za Tabibu
 • Kliniki
 • Hospitali ndogo za binafsi
 • Maisha ya Huduma ya Usaidizi
 • Vituo vya huduma ya muda mrefu

Vilevile, tunahahudumia wateja katika sekta za binafsi na serikali. Tuna timu ya wataalamu wa muda mrefu wa huduma kwa wateja na taratibu walio na tajriba ya miaka kadhaa ambao watahakikisha kuwa umepewa huduma ya kiwango cha hali ya juu.

Wafanyakazi wetu wenye tajriba wanaelewa sheria za hivi punde za usafirishaji na wanashirikiana na washirika wetu wa taratibu kuhakikisha kuwa umepewa viwango vya usafirishaji nafuu zaidi. Pia watahakikisha kuwa shehena yako inashughulikiwa kwa uangalifu wa hali ya juu inaposafirishwa.

Kwa maelezo zaidi kuhusu bidhaa, huduma zetu au kuomba nukuu la gharama, tutumie barua pepe kwa Intl@Cimadex.com au unaweza kutupigia simu au kututumia ujumbe wa WhatsApp kwa nambari (310) 400 9156.

Baadhi ya Chapa tunazosafirisha: Ethicon, Stryker, Beckton Dickinson & Co, Invacare, Drive Medical, Span America, Midmark, Welch Allyn, Roche Diagnostics, DRE Medical, GE Healthcare, Philips Healthcare, Siemens, Zoll.